,
Nyamazeni watu wote
Mabibi na mabwana
Kwa mara yetu ya kwanza
Kindi wa Africa
Wanawaimbia
Zangu, aamkua jamaa (jambo wote)
Juma, aamkua jamaa (jambo wote)
Afirika kwote inapenda twisti
Afirika kwote inacheza twisti
Ata sisi wanyama wa misituni
Tunaicheza na kuimba
Afirika kwote inapenda twisti
Afirika kwote inacheza twisti
Ata sisi wanyama wa misituni
Tunaicheza na kuimba
Tucheze, tucheze, tuimbe twisti
Tucheze, tucheze, tuimbe twisti
Tucheze, tucheze, tuimbe twisti
Sisi wanyama wa mituni
Afirika kwote inapenda twisti
Afirika kwote inacheza twisti
Ata sisi wanyama wa msituni
Mnaicheza na kuimba
Afirika kwote inapenda twisti
Afirika kwote inacheza twisti
Ata sisi wanyama wa msituni
Mnaicheza na kuimba
Tucheze, tucheze, tuimbe twisti
Tucheze, tucheze, tuimbe twisti
Tucheze, tucheze, tuimbe twisti
Sisi wanyama wa mituni
Tucheze, tucheze, tuimbe twisti
Tucheze, tucheze, tuimbe twisti
Tucheze, tucheze, tuimbe twisti
Sisi wanyama wa mituni