kasahorow Sua,

Kweku Ananse

Kweku Ananse ni nani?

Kweku Ananse au Anansi ni buibui. Siku ya kuzaliwa yake ni Jumatano. Nchi yake ni Ghana.

Maisha yake.

Kweku Ananse ana watoto watatu. Mama yake ni Asaase Yaa. Baba yake ni Nyame. Ntikuma ni mwana ya Kweku Ananse. Yaa ni mke ya Kweku Ananse.

Kazi yake.

Watu wana hadithi mengi ya Ananse.

<< A Awali | Kifwatacho >>