fie.nipa,

Efya

Efya ni nani?

Efya alitengeneza Jorley, wimbo. Efya ni mwanamke.

Maisha yake.

Yeye siku ya kuzaliwa ni Ijumaa. Tarehe 10 Aprili mwaka wa 1987.
Yeye anasoma kila siku. Yeye ni binadamu ema.

Kazi yake.

Efya anatengeneza wimbo. Ghana ni nchi yake. Yeye anapenda nchi yake.

Afrika inapenda Efya.

<< A Awali | Kifwatacho >>