Museke,

Sisi Tutakumbuka Wewe

Sisi tutakumbuka maisha yako.
Watoto watakumbuka hadithi yako.
Wao watakumbuka wewe.
Wewe utasaidia Ghana na Afrika.
Mvua inaleta maisha, siyo kifo.
#accrafloods
<< A Awali | Kifwatacho >>